Marko 9:26 BHN

26 Hapo huyo pepo alipaza sauti, akamwangusha huyo mtoto chini, kisha akamtoka. Mtoto alionekana kama maiti, hata wengine walisema, “Amekufa!”

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:26 katika mazingira