Marko 9:28 BHN

28 Basi, Yesu alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza kwa faragha, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?”

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:28 katika mazingira