Marko 9:34 BHN

34 Lakini wao wakanyamaza, maana njiani walikuwa wamebishana ni nani aliyekuwa mkubwa kati yao.

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:34 katika mazingira