Marko 9:42 BHN

42 “Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali kwa mtu huyo kufungiwa shingoni mwake jiwe kubwa la kusagia na kutupwa baharini.

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:42 katika mazingira