45 Na mguu wako ukikukosesha, ukate! Afadhali kuingia katika uhai bila mguu mmoja, kuliko kuwa na miguu yote miwili na kutupwa katika moto wa Jehanamu. [
Kusoma sura kamili Marko 9
Mtazamo Marko 9:45 katika mazingira