Marko 9:5 BHN

5 Petro akamwambia Yesu, “Mwalimu, ni vizuri sisi kuwapo hapa. Basi, afadhali tujenge vibanda vitatu: Kimoja chako, kimoja cha Mose na kimoja cha Elia.”

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:5 katika mazingira