Marko 9:9 BHN

9 Basi, walipokuwa wanashuka mlimani, Yesu aliwakataza wasimwambie mtu yeyote mambo waliyoyaona, mpaka Mwana wa Mtu atakapokuwa amefufuka kutoka kwa wafu.

Kusoma sura kamili Marko 9

Mtazamo Marko 9:9 katika mazingira