Matendo 1:11 BHN

11 wakasema, “Enyi wananchi wa Galilaya! Mbona mnasimama mkitazama angani? Yesu huyu ambaye amechukuliwa kutoka kwenu kwenda mbinguni atakuja tena namna hiyohiyo mlivyomwona akienda mbinguni.”

Kusoma sura kamili Matendo 1

Mtazamo Matendo 1:11 katika mazingira