Matendo 1:22 BHN

22 Huyo anapaswa kuwa mmoja wa wale walioandamana nasi tangu Yohane alipokuwa anabatiza mpaka siku ile Yesu alipochukuliwa kutoka kwetu kwenda mbinguni. Huyo atashiriki pamoja nasi jukumu la kushuhudia ufufuo wake Yesu.”

Kusoma sura kamili Matendo 1

Mtazamo Matendo 1:22 katika mazingira