Matendo 10:1 BHN

1 Kulikuwa na mtu mmoja huko Kaisarea aitwaye Kornelio, jemadari wa kikosi kimoja kiitwacho “Kikosi cha Italia.”

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:1 katika mazingira