Matendo 10:19 BHN

19 Petro alikuwa bado anajaribu kuelewa yale maono, na hapo Roho akamwambia, “Sikiliza! Kuna watu watatu hapa, wanakutafuta.

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:19 katika mazingira