Matendo 10:30 BHN

30 Kornelio akasema, “Siku tatu zilizopita saa kama hii, saa tisa alasiri, nilikuwa nikisali chumbani mwangu. Ghafla, mtu aliyekuwa amevaa mavazi yenye kungaa alisimama mbele yangu,

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:30 katika mazingira