Matendo 10:4 BHN

4 Kornelio alimkodolea macho huyo malaika kwa hofu, akamwambia, “Kuna nini Mheshimiwa?” Huyo malaika akamwambia, “Mungu amezipokea sala na sadaka zako kwa maskini wala hatazisahau.

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:4 katika mazingira