Matendo 10:45 BHN

45 Wale Wayahudi waumini waliokuja pamoja na Petro kutoka Yopa walishangaa kuona kuwa Mungu aliwamiminia kipawa cha Roho Mtakatifu watu wa mataifa mengine pia;

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:45 katika mazingira