Matendo 10:7 BHN

7 Huyo malaika aliyesema hayo alipokwisha kwenda zake, Kornelio aliwaita watumishi wawili wa nyumbani na mmoja wa askari zake ambaye alikuwa mcha Mungu,

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:7 katika mazingira