Matendo 10:9 BHN

9 Kesho yake, hao watu watatu wakiwa bado safarini, lakini karibu kufika Yopa, Petro alipanda juu ya paa la nyumba yapata saa sita mchana ili kusali.

Kusoma sura kamili Matendo 10

Mtazamo Matendo 10:9 katika mazingira