Matendo 11:17 BHN

17 Basi, kama Mungu amewapa pia watu wa mataifa mengine kipawa kilekile alichotupa sisi tulipomwamini Bwana Yesu Kristo, je, mimi ni nani hata nijaribu kumpinga Mungu?”

Kusoma sura kamili Matendo 11

Mtazamo Matendo 11:17 katika mazingira