Matendo 11:23 BHN

23 Alipofika huko na kuona jinsi Mungu alivyowaneemesha wale watu, alifurahi na kuwahimiza wote wadumu katika uaminifu wao kwa Bwana.

Kusoma sura kamili Matendo 11

Mtazamo Matendo 11:23 katika mazingira