Matendo 11:5 BHN

5 “Siku moja nikiwa nasali mjini Yopa, niliona maono; niliona kitu kama shuka kubwa ikishushwa chini kutoka mbinguni ikiwa imeshikwa pembe zake nne, ikawekwa kando yangu.

Kusoma sura kamili Matendo 11

Mtazamo Matendo 11:5 katika mazingira