Matendo 12:19 BHN

19 Herode aliamuru ufanywe msako lakini hawakuweza kumpata. Hivyo aliamuru wale askari wahojiwe, akatoa amri wauawe. Halafu akatoka huko Yudea, akaenda Kaisarea ambako alikaa.

Kusoma sura kamili Matendo 12

Mtazamo Matendo 12:19 katika mazingira