Matendo 12:4 BHN

4 Baada ya kutiwa nguvuni, Petro alifungwa gerezani, akawekwa chini ya ulinzi wa vikundi vinne vya askari wannewanne. Herode alikusudia kumtoa hadharani baada ya sikukuu ya Pasaka.

Kusoma sura kamili Matendo 12

Mtazamo Matendo 12:4 katika mazingira