Matendo 12:9 BHN

9 Petro akamfuata nje lakini hakujua kama hayo yaliyofanywa na huyo malaika yalikuwa ya kweli; alidhani alikuwa anaota ndoto.

Kusoma sura kamili Matendo 12

Mtazamo Matendo 12:9 katika mazingira