Matendo 13:1 BHN

1 Katika kanisa la Antiokia kulikuwa na watu wengine waliokuwa manabii na waalimu; miongoni mwao wakiwa Barnaba, Simoni aitwaye pia Mweusi, Lukio wa Kurene, Manaeni ambaye alikuwa amelelewa pamoja na mfalme Herode, na Saulo.

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:1 katika mazingira