Matendo 13:15 BHN

15 Baada ya masomo katika kitabu cha sheria ya Mose na katika maandiko ya manabii, wakuu wa lile sunagogi waliwapelekea ujumbe huu: “Ndugu, kama mnalo jambo la kuwaambia watu ili kuwapa moyo, semeni.”

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:15 katika mazingira