Matendo 13:21 BHN

21 Hapo wakapendelea kuwa na mfalme, na Mungu akawapa Shauli, mtoto wa Kishi wa kabila la Benyamini, awe mfalme wao kwa muda wa miaka arubaini.

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:21 katika mazingira