31 Naye, kwa siku nyingi, aliwatokea wale waliofuatana naye kutoka Galilaya mpaka Yerusalemu. Hao ndio walio sasa mashahidi wake kwa watu wa Israeli.
Kusoma sura kamili Matendo 13
Mtazamo Matendo 13:31 katika mazingira