Matendo 13:4 BHN

4 Basi, Barnaba na Saulo walipokwisha tumwa na Roho Mtakatifu, walishuka hadi Seleukia, na kutoka huko walipanda meli hadi kisiwa cha Kupro.

Kusoma sura kamili Matendo 13

Mtazamo Matendo 13:4 katika mazingira