42 Paulo na Barnaba walipokuwa wanatoka katika lile sunagogi, wale watu waliwaalika waje tena siku ya Sabato iliyofuata, waongee zaidi juu ya mambo hayo.
Kusoma sura kamili Matendo 13
Mtazamo Matendo 13:42 katika mazingira