Matendo 14:11 BHN

11 Umati wa watu walipoona alichofanya Paulo, walianza kupiga kelele kwa lugha ya Kilukaonia: “Miungu imetujia katika sura za binadamu!”

Kusoma sura kamili Matendo 14

Mtazamo Matendo 14:11 katika mazingira