Matendo 14:17 BHN

17 Hata hivyo, Mungu hakuacha kujidhihirisha kwa mambo mema anayowatendea: Huwanyeshea mvua toka angani, huwapa mavuno kwa wakati wake, huwapa chakula na kuijaza mioyo yenu furaha.”

Kusoma sura kamili Matendo 14

Mtazamo Matendo 14:17 katika mazingira