Matendo 14:26 BHN

26 Kutoka huko walisafiri kwa meli wakarudi Antiokia ambako hapo awali walikuwa wamewekwa chini ya ulinzi wa neema ya Mungu kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameitimiza.

Kusoma sura kamili Matendo 14

Mtazamo Matendo 14:26 katika mazingira