Matendo 15:24 BHN

24 Tumesikia kwamba watu wengine kutoka huku kwetu waliwavurugeni kwa maneno yao, wakaitia mioyo yenu katika wasiwasi. Lakini wamefanya hivyo bila ya idhini yoyote kutoka kwetu.

Kusoma sura kamili Matendo 15

Mtazamo Matendo 15:24 katika mazingira