Matendo 15:32 BHN

32 Yuda na Sila, ambao nao walikuwa manabii, walizungumza na hao ndugu kwa muda mrefu wakiwatia moyo na kuwaimarisha.

Kusoma sura kamili Matendo 15

Mtazamo Matendo 15:32 katika mazingira