36 Baada ya siku kadhaa, Paulo alimwambia Barnaba, “Turudi tukawatembelee wale ndugu katika kila mji tulikolihubiri neno la Bwana, tukajionee jinsi wanavyoendelea.”
Kusoma sura kamili Matendo 15
Mtazamo Matendo 15:36 katika mazingira