Matendo 16:1 BHN

1 Paulo alifika Derbe na Lustra, ambako aliishi mfuasi mmoja aitwaye Timotheo. Mama yake ambaye pia alikuwa mfuasi, alikuwa Myahudi; lakini baba yake alikuwa Mgiriki.

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:1 katika mazingira