Matendo 16:16 BHN

16 Siku moja, tulipokuwa tunakwenda mahali pa kusali, msichana mmoja aliyekuwa na pepo mwenye uwezo wa kuagua alikutana nasi. Msichana huyo alikuwa anawapatia matajiri wake fedha nyingi kwa uaguzi wake.

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:16 katika mazingira