Matendo 16:22 BHN

22 Kundi la watu likajiunga likawashambulia; na wale mahakimu wakawavua nguo zao kwa nguvu, wakaamuru wapigwe viboko.

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:22 katika mazingira