Matendo 16:29 BHN

29 Baada ya kumwita mtu alete taa, huyo askari wa gereza alikimbilia ndani, akajitupa mbele ya miguu ya Paulo na Sila huku akitetemeka kwa hofu.

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:29 katika mazingira