Matendo 16:33 BHN

33 Yule askari aliwachukua saa ileile ya usiku akawasafisha majeraha yao, kisha yeye na jamaa yake wakabatizwa papo hapo. [

Kusoma sura kamili Matendo 16

Mtazamo Matendo 16:33 katika mazingira