4 Walipokuwa wanapita katika ile miji waliwapa watu yale maagizo yaliyotolewa na mitume na wazee kule Yerusalemu, wakawaambia wayazingatie.
Kusoma sura kamili Matendo 16
Mtazamo Matendo 16:4 katika mazingira