40 Paulo na Sila walitoka gerezani, wakaenda nyumbani kwa Ludia. Huko walionana na ndugu waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.
Kusoma sura kamili Matendo 16
Mtazamo Matendo 16:40 katika mazingira