Matendo 17:22 BHN

22 Basi, Paulo alisimama mbele ya baraza la Areopago, akasema, “Wananchi wa Athene! Ninaona kwamba nyinyi, kwa vyovyote, ni watu wa dini sana,

Kusoma sura kamili Matendo 17

Mtazamo Matendo 17:22 katika mazingira