29 Ikiwa basi, sisi ni watoto wa Mungu, haifai kumfikiria Mungu kuwa kama dhahabu, fedha au hata jiwe lililochongwa na kutiwa nakshi na binadamu.
Kusoma sura kamili Matendo 17
Mtazamo Matendo 17:29 katika mazingira