Matendo 17:7 BHN

7 Yasoni amewakaribisha nyumbani kwake. Wote wanafanya kinyume cha amri ya Kaisari wakisema eti: ‘Kuna mfalme mwingine aitwaye Yesu.’”

Kusoma sura kamili Matendo 17

Mtazamo Matendo 17:7 katika mazingira