Matendo 18:14 BHN

14 Kabla tu Paulo hajaanza kusema, Galio aliwaambia Wayahudi, “Sikilizeni enyi Wayahudi! Kama kweli jambo hili lingekuwa juu ya uhalifu au uovu ningekuwa tayari kuwasikilizeni.

Kusoma sura kamili Matendo 18

Mtazamo Matendo 18:14 katika mazingira