Matendo 18:23 BHN

23 Alikaa huko muda mfupi, halafu akaendelea na safari kwa kupitia sehemu za Galatia na Frugia akiwatia moyo wafuasi wote.

Kusoma sura kamili Matendo 18

Mtazamo Matendo 18:23 katika mazingira