Matendo 18:28 BHN

28 kwa maana aliendelea kwa uhodari kuwashinda Wayahudi hadharani akithibitisha kwa Maandiko Matakatifu kuwa Yesu ni Kristo.

Kusoma sura kamili Matendo 18

Mtazamo Matendo 18:28 katika mazingira