Matendo 18:7 BHN

7 Basi, akatoka hapo akaenda kukaa nyumbani kwa mtu mmoja mcha Mungu aitwaye Tito Yusto, ambaye nyumba yake ilikuwa karibu na lile sunagogi.

Kusoma sura kamili Matendo 18

Mtazamo Matendo 18:7 katika mazingira