Matendo 19:16 BHN

16 Kisha yule mtu aliyepagawa aliwarukia wote kwa kishindo, akawashinda nguvu. Na hao watoto wa Skewa wakakimbia kutoka ile nyumba wakiwa uchi na wamejaa majeraha.

Kusoma sura kamili Matendo 19

Mtazamo Matendo 19:16 katika mazingira