Matendo 19:2 BHN

2 Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata hatujasikia kwamba kuna Roho Mtakatifu.”

Kusoma sura kamili Matendo 19

Mtazamo Matendo 19:2 katika mazingira